Fursa adimu kwa Wanawake Wafanyabiashara imewadia!
Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade) kwa kushirikiana na Kampuni ya Go Extramile Safaris Inakuletea fursa adimu ya
Kushiriki Kongamano la Kimataifa la Wanawake (Women Entrepreneurship Conference, 2021) Dubai ikiambatana na ziara ya kutembelea Maonesho ya Dunia ya Expo2020 na kutembelea vivutio vya utalii Dubai
Vigezo
WARNING????: JISAJILI MAPEMA NAFASI NI CHACHE
SAIDIA KUSAMBAZA FURSA HII IWEZE KUWAFIKIA WANAWAKE WOTE WENYE KIU YA MAENDELEO????????????
MAWASILIANO: 0717703340 au 0715677477, 0715988299 au tembelea ofisi za TanTrade zilizopo Uwanja wa Maonesho wa Mwl. J. K. Nyerere
Sabasaba au Ofisi za Go Extramile Safaris zilizopo Sea Cliff Village, karibu na Sea Cliff Hotel, Masaki Dar es Salaam.